Imetumwa : February 12th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Kiteto CPA. Hawa Abdul Hassan, amezindua mradi wa vyoo matundu manne na mabafu manne katika Shule ya Msingi Partimbo iliyopo Kata ya Partimbo baada ya vyoo vya awali kutitia...
Imetumwa : February 7th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mh Remidius Mwema Emmauel, amezindua Bodi ya Huduma ya Afya ya Wilaya ambayo moja ya majukumu yake ni kuhakikisha jamii inapata huduma bora za Afya inazozimudu na zinazoimari...
Imetumwa : February 7th, 2024
Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viwatilifu Tanzania (TPHPA), wametoa mafunzo ya kuwajengea Maafisa Ugani- Kilimo uwezo wa kutabiri mlipuko wa visumbufu vya mimea.
Mafunzo hayo ambayo yamefanyika ...