Imetumwa : September 26th, 2025
Madereva wa magari yanayofanya safari za Mbigiri na Matui wamekubaliana na agizo la Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto la kuhakikisha magari yote yanapakia na kushusha abiria katika Stendi Kuu ya Wilaya ...
Imetumwa : September 26th, 2025
Maadhimisho ya Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani yameanza rasmi leo Septemba 26, 2025 katika Wilaya ya Kiteto kwa kutoa elimu kwa wanafunzi kutoka shule 12, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa ya kuel...
Imetumwa : September 24th, 2025
Wafugaji wa mbwa wilayani Kiteto wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kuwaleta mbwa na paka wao ili kupata chanjo dhidi ya kichaa cha mbwa katika maadhimisho ya Siku ya Kichaa cha Mbwa Duniani ambayo Kita...