Imetumwa : August 12th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kupitia vyama vya Ushirika AMCOS na Chama Kikuu ACU, Agosti 11,2024, imezindua mnada wa zao la mbaazi kupitia mfumo wa kidigitali wa TMX unaomuwezesha mkulima kuu...
Imetumwa : August 1st, 2024
Shirika lisilo la kiserikali KINNAPA limekadhi Mradi wa Ufundi Ushonaji kwa Sekondari ya Sunya ili kuuendesha.
Hafla ya makabidhiano ya mradi huo imefanyika Julai 31,2024, katika Shule ...
Imetumwa : August 4th, 2024
Agosti 1,2024 Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhe. Remidius Mwema aliongoza Kikao Cha Tathmini ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 wilayani hapo.
Kikao hicho kilichohudhuriwa na wajumbe wa kamati ya...