Imetumwa : January 22nd, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, CPA Hawa Abdul Hassan, Januari 20, 2025, ameongoza kikao maalum cha watumishi kujadili masuala ya uboreshaji wa mfumo wa kodi nchini.
...
Imetumwa : January 10th, 2025
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia Mradi wa BOOST, inaendesha mafunzo maalumu ya siku nne kwa Walimu wa Darasa la Awali na Walimu Wakuu kutoka shule 46 katika Ha...
Imetumwa : December 22nd, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto ilifanya kongamano la uzinduzi wa msimu wa kilimo 2024/2025 tarehe 20 Desemba 2024. Lengo lilikuwa kuhamasisha wakulima, wadau wa kilimo, na watoa huduma za ugani kujad...