Imetumwa : December 15th, 2018
Naibu Waziri wa OR- TAMISEMI Mhe. Mwita M. Waitara akizunguza katika kikao chake na watumishi kilichofanyika ndani ya ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto mapema leo.Waliokaa upande w...
Imetumwa : December 10th, 2018
Watumishi wa serikali kuu na serikali za mitaa wakishindana kuvuta kamba wakati wa bonanza lililofanyika kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanzania bara.Bonanza hilo limefanyika katika uw...
Imetumwa : December 9th, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto (aliyeshika mfagio kushoto) Ndg. Tamim H. Kambona akijumuika na watumishi wengine katika kufanya usafi wa mazingira katika Hospit...