Imetumwa : February 16th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mh Remedius Mwema Emmanuel, amesema kwamba yupo tayari kumchukulia hatua mtu yoyote atakayekwamisha zoezi la chanjo ya Surua Rubella inayoendelea nchi nzima.
Mh Mwema amey...
Imetumwa : February 17th, 2024
Ufaulu wa mitihani ya Kidato cha Nne katika Halmshauri ya Wilaya ya Kiteto umeongeza na kufika 90.6% kutoka 90%.
Hayo yameelezwa February 16, 2024 na Mkuu wa Idara ya Sekondari, Ndugu Ally Kichuri ...
Imetumwa : February 16th, 2024
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mh. Edward Ole Lekaita, amefanya uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Surua Rubella katika kata ya Sunya Februari 15, 2024.
Katika Kampeni hii ya Kitaifa ya siku n...