Imetumwa : August 5th, 2025
Jumla ya Wasimamizi Wasaidizi 46 wa Uchaguzi Mkuu ngazi ya kata wameanza mafunzo rasmi kujiandaa na zoezi la Uchaguzi Mkuu 2025.
Mafunzo hayo ya siku mbili yalianza rasmi jana Agosti 4,202...
Imetumwa : August 3rd, 2025
Kamati ya Lishe ya Wilaya ya Kiteto imefanya kikao chake cha utekelezaji wa afua za lishe kwa kipindi cha Robo ya Nne kwa mwaka 2024/25, kikao kilichofanyika tarehe 25 Julai 2025.
Kikao hi...
Imetumwa : July 30th, 2025
Wahenga walisema "Hayawi hayawi sasa yamekua". Kile kilio cha muda mrefu cha wananchi wa kata ya Kaloleni cha kupata shule mpya ya msingi sasa kimesikiwa na hatimaye kata hiyo inaenda kupata shule yen...