Imetumwa : July 12th, 2024
Watendaji wa Kata zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto wamehudhuria warsha iliyoandaliwa na Wizara ya Kilimo. Warsha hiyo ambayo imefanyika Julai 12,2024 katika Ukumbi wa Halmashauri ilikua...
Imetumwa : May 30th, 2024
Zaidi ya wagonjwa 400 waliogundulika kua na ugonjwa wa trakoma/vikope wamepatiwa matibabu katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto katika mpango maalumu ya kutokomeza ugonjwa huo wilayani hapo.
Hayo ...
Imetumwa : May 23rd, 2024
Timu ya wataalamu kutoka Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Mei 22,2024 imetembelea Wilaya ya Kiteto na kufanya kikao kujadili changamoto zilizojitokeza katika uuzaji wa zao la mbaazi ku...