Imetumwa : May 5th, 2018
Washiriki wakiwa katika semina ya kujenga uelewa kuhusu viwavijeshi vamizi.Semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto
Wataalamu kutoka wizara ya Kilimo waki...
Imetumwa : May 1st, 2018
Mgeni rasmi ,ambaye pia ni mkuu wa wilaya Mhe. Tumaini Magessa akihutubia wafanyakazi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani wilayani Kiteto . Maad...
Imetumwa : April 30th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mhe. Tumaini Magessa akizindua utoaji wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi.Uzinduzi huo umefanyika katika hospitali ya wilaya.
Muuguzi akifanya matayarisho ili k...