Imetumwa : August 26th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto SSI Mbaraka Alhaj Batenga amewahimiza wananchi wa wilayani hapo kujenga tabia ya kufanya mazoezi kwaajili ya kuimairsha afya zao.
Agosti 26, 2023 Mh. Batenga aliwaongoza wa...
Imetumwa : August 17th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh. Queen Cuthbert Sendiga amesema kwamba suala la uboreshaji wa miundombinu katika serikali ya awamu ya sita ya Mhe Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni suala end...
Imetumwa : August 9th, 2023
Ujenzi wa shule mpya ya msingi iliyopo katika Kijiji cha Azimio kata ya Matui ukiendelea.
Shule hii ikikamilika inatarajia kupunguza msongamano wa wanafunzi kutoka katika Shule ya msingi Azimio.
...